Kimalagasy cha Tandroy-Mahafaly
(Elekezwa kutoka Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly)
Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly ni lugha ya Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly imehesabiwa kuwa watu 1,300,000, yaani Watandroy 865,000, Wahafaly 330,000 na Wakarimbola 103,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly katika Glottolog
- lugha ya Kimalagasy ya Tandroy-Mahafaly kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy cha Tandroy-Mahafaly kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |