Kimaleu-Kilenge ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamaleu na Wakilenge. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimaleu-Kilenge imehesabiwa kuwa watu 5200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaleu-Kilenge iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaleu-Kilenge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.