Kimama ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamama. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kimama imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimama iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.