Kimamaa
Kimamaa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamamaa. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kimamaa imehesabiwa kuwa watu 200, na inawezekana lugha imetoweka kabisa tangu pale. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamaa iko katika kundi la Kifinisterre.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimamaa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimamaa Archived 16 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimamaa katika Glottolog
- lugha ya Kimamaa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimamaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |