Kimambila cha Nigeria

(Elekezwa kutoka Kimambila ya Kinigeria)

Kimambila cha Kinigeria ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamambila. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimambila cha Kinigeria imehesabiwa kuwa watu 99,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimambila cha Kinigeria iko katika kundi la Kimambiloidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimambila cha Nigeria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.