Kimanambu ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamanambu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimanambu imehesabiwa kuwa watu 2110. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanambu iko katika kundi la Kindu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanambu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.