Kimandjak
Kimandjak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau, Senegal na Gambia inayozungumzwa na Wamandjak. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimandjak imehesabiwa kuwa watu 184,000 nchini Guinea-Bisau, 105,000 nchini Senegal, na 26,300 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandjak iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimandjak kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimandjak Archived 2 Juni 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimandjak katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mfv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimandjak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |