Kimanide ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanide. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimanide imehesabiwa kuwa watu 3800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanide iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanide kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.