Kimansoanka
Kimansoanka (pia Kikunante au Kisua) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Gambia inayozungumzwa na Wamansoanka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimansoanka nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 15,500. Pia kuna wasemaji 1600 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimansoanka iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimansoanka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimansoanka Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimansoanka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/msw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimansoanka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |