Kimape ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamape. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimape imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimape iko katika kundi la Kihuon.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimape kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.