Kimarghi-Kusini
Kimarghi ya Kusini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamarghi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarghi ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 166,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarghi ya Kusini iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimarghi ya Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimarghi ya Kusini Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimarghi ya Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mfm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarghi-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |