Kimarkweeta
lugha ya kalenjin inayoongelewa Kenya
Kimarkweeta (pia Kiendo au Kimarakwet) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wamarkweeta, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimarkweeta imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarkweeta iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiendo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiendo Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiendo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/enb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarkweeta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |