Kimashi (Nigeria)
Nigeria
Kimashi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamashi. Isichanganywe na lugha ya Kimashi inayozungumzwa nchini Zambia. Idadi ya wasemaji wa Kimashi imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimashi iko katika kundi la Kibeboidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimashi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimashi Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimashi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jms
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimashi (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |