Kimaskelynes ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamaskelynes kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimaskelynes imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaskelynes iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaskelynes kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.