Kimatuumbi
Kimatuumbi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamatuumbi. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kimatuumbi imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimatuumbi iko katika kundi la P10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimatuumbi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimatuumbi Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimatuumbi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgw
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kimatuumbi)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Kisseberth, Charles & David Odden. 1980. Aspects of tone assignment in Kimatumbi. Studies in the linguistic sciences, 10 (1), uk.125-140.
- Odden, David. 1996. The phonology and morphology of Kimatuumbi. (Phonology of the world’s languages.) Oxford: Clarendon Press. Kurasa xi, 315. [ISBN 0-19-823503-8]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimatuumbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |