Kimbembe cha Cross River

(Elekezwa kutoka Kimbembe ya Cross River)

Kimbembe ya Cross River ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wambembe. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimbembe ya Cross River imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbembe ya Cross River iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbembe cha Cross River kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.