Kimbowe
(Elekezwa kutoka Kimbowe (lugha))
Kimbowe ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wambowe. Isichanganywe na Kimbugwe cha Tanzania ambacho pia huitwa Kimbowe. Mwaka wa 1969 idadi ya wasemaji wa Kimbowe imehesabiwa kuwa watu 2690. Kufuatana na uainishaji wa [[[lugha]] za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbowe iko katika kundi la K40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbowe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbowe Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbowe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mxo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbowe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |