Kimbula-Bwazza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wambula na Wabwazza. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbula-Bwazza imehesabiwa kuwa watu 40,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbula-Bwazza iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbula-Bwazza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.