Kimburku
Kimburku ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamburku. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimburku imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimburku iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimburku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimburku Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimburku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbt
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimburku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |