Kimelo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wamelo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kimelo imehesabiwa kuwa watu 20,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimelo iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimelo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.