Kimende (au Kiseim) ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamende. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimende imehesabiwa kuwa watu 5700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimende iko katika kundi la Kinukuma.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimende (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.