Kimeriam
Kimeriam ni lugha ya Kipapua ya pekee nchini Australia inayozungumzwa na Wameriam. Katika sensa ya mwaka 2006 idadi ya wasemaji wa Kimeriam imehesabiwa kuwa watu 210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimeriam kiko katika kundi la “Eastern Trans-Fly”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimeriam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimeriam Ilihifadhiwa 8 Februari 2019 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimeriam katika Glottolog
- lugha ya Kimeriam kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimeriam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |