Kimewahang-Magharibi
Kimewahang ya Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wamewahang. Mwaka wa 2011 idadi ya Wamewahang, yaani wasemaji wa lugha zote mbili, ya Magharibi na ya Mashariki, imehesabiwa kuwa watu 4650. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimewahang ya Magharibi iko katika kundi la Kihimalaya.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimewahang ya Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimewahang ya Magharibi Ilihifadhiwa 28 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimewahang ya Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kimewahang ya Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimewahang-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |