Kimewahang-Mashariki
Kimewahang ya Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wamewahang. Mwaka wa 2011 idadi ya Wamewahang, yaani wasemaji wa lugha zote mbili, ya Mashariki na ya Magharibi, imehesabiwa kuwa watu 4650. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimewahang ya Mashariki iko katika kundi la Kihimalaya.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimewahang ya Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimewahang ya Mashariki Archived 5 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimewahang ya Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kimewahang ya Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimewahang-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |