Kimiship
Kimiship ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamiship. Mwaka wa 1976 idadi ya wasemaji wa Kimiship imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimiship iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimiship kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimiship Archived 2016-12-02 at Archive.today
- lugha ya Kimiship katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mjs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimiship kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |