Kimittu ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini iliyozungumzwa na Wamittu. Hakuna wasemaji wa Kimittu siku hizi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimittu iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimittu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.