Kimoere
Kimoere ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamoere. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimoere imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoere iko katika kundi la Kipihom.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimoere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoere Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimoere katika Glottolog
- lugha ya Kimoere kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |