Kimongol
Kimongol ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamongol. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimongol imehesabiwa kuwa watu 340. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimongol iko katika kundi la Kimongol-Langam, na inahusiana na lugha mbili nyingine tu, Kilangam na Kiyaul.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimongol kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimongol Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimongol katika Glottolog
- lugha ya Kimongol kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimongol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |