Kimontol ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamontol. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimontol imehesabiwa kuwa watu 21,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimontol iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimontol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.