Kimonzombo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wamonzombo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimonzombo nchini Jamhuri ya Kongo imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Januri ya Kidemokrasia ya Kongo na 1600 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimonzombo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimonzombo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.