Kimoo
Kimoo (pia Kigomu) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamoo. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kimoo imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimoo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimoo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gwg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |