Kimoru ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamoru. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimoru imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoru iko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.