Kimosimo ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamosimo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimosimo imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha iko hatarini kwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimosimo iko katika kundi la Kihanseman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimosimo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.