Kimouk-Aria ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamouk. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimouk-Aria imehesabiwa kuwa watu 630. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimouk-Aria iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimouk-Aria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.