Kimugali
Kimugali ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wamugali. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimugali imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimugali iko katika kundi la Kihimalaya.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimugali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimugali Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimugali katika Glottolog
- lugha ya Kimugali kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimugali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |