Kimulam
Kimulam ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wamulao. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kimulam imehesabiwa kuwa watu 86,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimulam iko katika kundi la Kikam-Sui.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimulam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimulam
- lugha ya Kimulam katika Glottolog
- lugha ya Kimulam kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimulam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |