Kimumuye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamumuye. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimumuye imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimumuye iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimumuye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.