Kimundu
ni lugha ya Ngbaka inayozungumzwa hasa nchini Sudan Kusini, na pia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kimundu (au Kimündü) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamundu. Idadi ya wasemaji wa Kimundu nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 23,000 na nchini Kongo 2,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundu iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimundu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimundu Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimundu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/muh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |