Kimursi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wamursi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimursi imehesabiwa kuwa watu 7390. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimursi iko katika kundi la Kisurmi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimursi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.