Kimwimbi-Muthambi ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wameru. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimwimbi-Muthambi imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwimbi-Muthambi iko katika kundi la E50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwimbi-Muthambi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.