Kimyene
(Elekezwa kutoka Kimyene (lugha))
Kimyene ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wamyene. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimyene imehesabiwa kuwa watu 46,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimyene iko katika kundi la B10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimyene kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimyene Archived 24 Novemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimyene katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mye
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimyene kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |