Kinai ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanai. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinai imehesabiwa kuwa watu 750. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinai iko katika kundi la Kikwomtari.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.