Kinama ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanama. Isichanganywe na lugha ya Kinama inayozungumzwa nchini Namibia. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinama imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinama iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Katikati.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinama (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.