Kinar-Phu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wanar na Waphu. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinar-Phu imehesabiwa kuwa watu 600, yaani Wanar 400 na Waphu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinar-Phu iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinar-Phu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.