Kinarango ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanarango kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kinarango imehesabiwa kuwa watu 160. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarango iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinarango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.