Kinarim
Kinarim ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanarim. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kinarim imehesabiwa kuwa watu 3620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarim iko katika kundi la Kisurmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinarim kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinarim Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinarim katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/loh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinarim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |