Kinde-Nsele-Nta
Kinde-Nsele-Nta ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wande, Wansele na Wanta. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinde-Nsele-Nta imehesabiwa kuwa watu 19,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinde-Nsele-Nta iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kinde Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinde katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ndd
- lugha ya Kinde kwenye Multitree
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinde-Nsele-Nta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |