Kinding au Kieliri ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan iliyozungumzwa na Wanding. Hakuna wasemaji wa Kinding tena kwa vile Wanding wote wameacha lugha yao na kuongea Kiarabu siku hizi. Kwa hiyo lugha ya Kinding imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinding iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinding kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.