Kindoe
Kindoe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wandoe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindoe imehesabiwa kuwa watu 7340. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindoe iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kindoe Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kindoe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nbb
- lugha ya Kindoe kwenye Multitree
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindoe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |