Kindu

Mji mkuu wa DRC

Kindu ni mji mkuu wa mkoa wa Maniema nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 135,534 .

Moja ya Mtaa katika Mji wa Kindu


Kindu
Kindu is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kindu
Kindu

Mahali pa mji wa Kindu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Majiranukta: 2°57′0″S 25°57′0″E / 2.95000°S 25.95000°E / -2.95000; 25.95000
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Maniema
Wilaya Kindu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 135,534

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kindu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.